Latest posts
-
Mbeya faces uphill task to overtake Dar, Mwanza in economic contribution

Mbeya. The Mbeya Region, currently Tanzania’s third-largest contributor to the national economy, could rise to the top if residents and businesses make better use of available opportunities, Regional Commissioner Jumanne Sagini has said. According to Bank of Tanzania estimates for 2025, Dar es Salaam leads with a contribution of Sh39.808 trillion, followed by Mwanza at…
-
Mafanikio ziara ya siku 10 ya Rais Mwinyi Ulaya

Unguja. Ziara ya kikazi ya siku 10 ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi kimataifa, imetajwa kuleta mafanikio makubwa katika maeneo makuu manne ya diplomasia ya mazingira, michezo, elimu na uwekezaji. Rais Mwinyi alianza ziara hiyo ya kimataifa Oktoba 7, 2026 katika nchi za Qatar, Uhispania na kuhitimishwa jijini Yerevan, Armenia. Akimwakilisha Rais wa…
-
Rais Mwinyi arejea Zanzibar, ataja matokeo chanya ziara ya siku 10 ughaibuni

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amerejea nchini baada ya kukamilisha ziara zake za kiserikali katika nchi za Qatar, Armenia na Hispania huku akitaja mafanikio ya ziara hizo. Amesema ziara hizo zililenga kufungua fursa za kuimarisha uwekezaji, kushiriki mijadala ya kimataifa kuhusu hifadhi ya mazingira na kuimarisha maendeleo ya michezo. Akizungumza na waandishi wa…
-
Tanzania: BoT Orders Banks to Exchange Worn-Out Notes

Manyara — THE Bank of Tanzania (BoT) has directed all commercial banks in Manyara Region to accept worn-out and damaged banknotes for assessment and exchange, following complaints that some banks were refusing to receive them. The directive was issued recently by BoT Arusha Operations Manager, Mr Cletus Mwakalinga, during the Tanzanite Manyara Trade Fair at…
-
Government sets six-month deadline for startup policy

Dar es Salaam. The government has given the Ministry of Industry and Trade six months to complete a dedicated startup policy intended to improve access to capital, coordinate support across economic sectors and create conditions for innovative businesses to grow. Vice President Deogratius Ndejembi issued the directive yesterday when opening Startup Week in Dar es…
-
Vyuo vya Afrika, Norway vyafichua tija tafiti za nishati safi

Unguja. Watafiti na wahadhiri kutoka vyuo vikuu vya Afrika na Norway wameeleza mafanikio ya miaka 20 ya ushirikiano katika tafiti za nishati safi na jadidifu, ikiwamo teknolojia za kupikia kwa jua na kuzalisha umeme. Mkutano huo wa kutathmini mafanikio ya Mtandao wa Teknolojia ya Nishati wa NORHED II umehusisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam…
-
Miaka 40 tangu kifo cha Machel, kauli ya “A luta continua” yaendelea kuishi

Dar es Salaam. “A luta continua,” mapambano yanaendelea. Kauli hiyo iliyohusishwa na aliyekuwa Rais wa kwanza wa Msumbiji, Samora Machel, imeendelea kuwa alama ya mapambano ya uhuru na mshikamano wa watu wa kusini mwa Afrika, miaka 40 tangu kiongozi huyo afariki dunia katika ajali ya ndege. Jana Oktoba 19, 2026, ilitimia miaka 40 tangu Machel…
-
Tanzania: Can Tanzania Set Its Sights On China’s Graphite Crown?

Tanzania wants to overtake China in graphite production within 15 years. It is a bold target for a country with substantial reserves but only a small share of global output. The announcement signals its intention to become a major force in the fast-growing battery materials market. “We are going to surpass China in terms of…
-
Tanzania’s plan to grow lush forests from forgotten trees

Dodoma. Tanzania is targeting the regeneration of 100 million trees by 2030 under an ambitious environmental restoration programme aimed at reversing land degradation, improving agricultural productivity and strengthening rural communities against climate change. The target forms part of the second phase of the Kisiki Hai programme, which has already facilitated the regeneration of more than…
-
Kabila ndani ya muungano mpya, vita vilevile

Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabila, amechukua hatua mpya katika mzozo wa kisiasa na kijeshi unaoendelea mashariki mwa nchi hiyo: kuongoza muungano mpya unaoitwa Front pour la Refondation de la Nation (FRN). Muungano huo umetangazwa wakati mapigano yakiendelea, maeneo muhimu yakiwa chini ya udhibiti wa waasi na juhudi za kidiplomasia…