Latest posts

  • Mahakama yawaachia huru watatu kesi ya mauaji Nzega

    Mahakama yawaachia huru watatu kesi ya mauaji Nzega

    Arusha. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Tabora, imewaachia huru Hamisi Kusailwa, Kulwa Masanja na Mayunga Shija, waliokuwa wakikabiliwa na shtaka la kumuua Dase Kusailwa, baada ya kubaini mapungufu katika ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka. Miongoni mwa sababu zilizochangia uamuzi huo ni tofauti katika maelezo ya maungamo yaliyodaiwa kutolewa na washtakiwa, dosari katika…

    Read more

  • HESLB ilivyopunguza muda kutoa mikopo hadi siku mbili

    HESLB ilivyopunguza muda kutoa mikopo hadi siku mbili

    Dar es Salaam. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imepunguza muda wa utoaji fedha za mikopo kwa wanafunzi kutoka mwezi mmoja hadi siku mbili, huku ikipanga kuunganisha mifumo yake na ya taasisi nyingine za Serikali ili kuongeza kasi ya huduma hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Dk Bill Kiwia, amesema maboresho ya…

    Read more

  • Tanzania: BoT Records Rise in Monetary Gold Holdings

    Tanzania: BoT Records Rise in Monetary Gold Holdings

    Dar es Salaam — THE Bank of Tanzania’s gold holdings rose by 3.6 per cent in September, strengthening the gold component of its assets and highlighting the importance of precious metals in the central bank’s financial position. The Bank’s Statement of Financial Position as at September this year shows that the combined monetary gold and…

    Read more

  • Tanzania researchers turn sisal waste into animal feed, fertiliser and energy

    Tanzania researchers turn sisal waste into animal feed, fertiliser and energy

    Tanga. Waste from sisal processing, long regarded as an industrial by-product, could be turned into animal feed, organic fertiliser and energy, researchers have said. Research findings presented yesterday show the potential to convert sisal waste into economically valuable products while reducing waste and environmental challenges facing processing factories. Presenting the findings, Dr Aziza Konyo, a…

    Read more

  • Kamani: Wilaya zote ziige mfano wa Mufindi

    Kamani: Wilaya zote ziige mfano wa Mufindi

    Mufindi. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ng’wasi Kamani, amezitaka wilaya zote nchini kuiga mfano wa Wilaya ya Mufindi, Mkoa wa Iringa, kwa kuandaa na kuboresha maonyesho ya biashara na uwekezaji ili kuchochea ukuaji wa uchumi, kuvutia wawekezaji na kuongeza ajira kwa wananchi. Kamani ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Oktoba 21, 2026, wakati akifunga Maonyesho…

    Read more

  • Bajaji zaanza kurejea mtaani Mbeya, daladala zalalamika

    Bajaji zaanza kurejea mtaani Mbeya, daladala zalalamika

    Mbeya. Bajaji jijini Mbeya zimeanza kurejea barabarani baada ya kusitisha huduma kwa takribani siku mbili kupinga kuondolewa katika barabara kuu ya Tanzam, huku wananchi wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC), Jumanne Sagini, kusimamia msimamo wake wa kutaka vyombo vya usafiri kuzingatia sheria. Hata hivyo, kurejea kwa bajaji hizo kumeambatana na malalamiko kutoka kwa baadhi…

    Read more

  • Tanzania: RC Sets Seven-Day Deadline for Building Permit

    Tanzania: RC Sets Seven-Day Deadline for Building Permit

    Singida — SINGIDA Regional Commissioner Halima Dendego has directed public servants to resolve complaints related to building permits within seven days as part of efforts to improve service delivery and strengthen accountability in the region. She issued the directive yesterday during a meeting with public servants from various departments following her tour of Singida District,…

    Read more

  • Tanzania on alert as Indian Ocean system threatens cyclone formation

    Tanzania on alert as Indian Ocean system threatens cyclone formation

    Dar es Salaam. Tanzania’s weather authority has warned that a low-pressure system in the Indian Ocean, near the Seychelles Islands, is expected to intensify into a cyclone within the next four days, potentially strengthening rainfall systems along the country’s coastal areas from October 24, 2026. According to a statement issued by the Tanzania Meteorological Authority…

    Read more

  • Familia ya Odinga ‘yagawanyika’ kuelekea uchaguzi mkuu 2027

    Familia ya Odinga ‘yagawanyika’ kuelekea uchaguzi mkuu 2027

    Raila Odinga Junior ametangaza kumuunga mkono Rais wa Kenya, William Ruto katika azma yake ya kuwania tena muhula wa pili, huku akisisitiza kuwa ataendelea kubaki katika chama cha Orange Democratic Movement (ODM), msimamo unaomtofautisha na baadhi ya wanafamilia yake wanaopinga ushirikiano wa chama hicho na Serikali ya Kenya Kwanza. Junior, mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu…

    Read more

  • Mabasi ya umeme Zanzibar, yaja na changamoto zake

    Mabasi ya umeme Zanzibar, yaja na changamoto zake

    Oktoba Mosi, 2026, Zanzibar iliandika historia. Kwa mara ya kwanza, mabasi ya umeme ya kisasa yenye urefu wa mita 12, yaliyoletwa na kampuni ya EKA Mobility ya India kwa kushirikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) na GRT, yalianzisha safari zake rasmi.  Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi aliyazindua Julai 23, 2026 katika…

    Read more